ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 28, 2012

Matangazo ya VOA kwa simu


Wanadiaspora wa Canada na Uingereza sasa mnaweza kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika kupitia simu yako ya mkononi.
Kama upo Uingereza (UK) piga namba:  442035190840
Kama upo Canada piga namba:  (213) 493-0181   na utaweza kusikiliza matangazo yote ya nusu saa nzima au sehemu tu ya matangazo kama unavyopenda.
Wanadiaspora Marekani huduma itakuja karibuni

No comments: