ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 19, 2012

MJINI MCHAKA MCHAKA

Unakamata kiazi cha kuchoma kwa 500( Jero) na maji kisha siku imeisha.....pichani kijana akiwa na mkokoteni jiko akipitisha kwa wateja, Mihogo na Viazi vya kuchoma miaka ya hivi karibuni imekuwa maarufu sana mjini.

1 comment:

Anonymous said...

mkuu umenikumbusha mbali sana natamani vyakula hivi yani acha tuu

NY,NIMERUDI