Taylor Mays # 26 wa Cincinnati Bengals akishirikiana na wachezaji wenzake Terrence Newman #23 na Nate Clements # 22 kuzuia pass ya mwisho ya Washington Redskins katika mechi iliyochezewa uwanja wa FedEx uliopo Landover Maryland ambao ni wa pili kwa ukubwa wenye uwezo wa kukalisha watazamaji 98, 000 wa kwanza ni uwanja mpya wa Dallas Cowboys unaokalisha watazamaji 111,000 katika mechi hii Washington Redskins walipoteza kwa 38-31 dhidi ya Cincinnati Bengals
Mpwa akiwa na marafiki zake kwenye uwanja wa FedEx unaotumiwa na Washington Reskins kama uwanja wa nyumbani tikifuatilia mchezo wakati wenyeji Redskins wakiendelea kuchuana na Bengals kutoka kushoto ni Nadeir Ameir, Mpwa, Seif Ameir na Sheh Omar
Kutoka kushoto ni Seif, Omar na Nadeir
Mpwa kushoto akiwa na marafiki zake wakijiandaa kuingia uwanjani kati ni Seif Ameir na Sheh Omar
Kutoka kushoto Sheh Omar, Seif Ameir na Nadeir Ameir wakienlekea uwanjani
Nadeir akikaguliwa
Mpwa katika konozzz akiwa na Ameir family
toka kushoto ni Nadeir, Seif na Omar wakifuatilia jalamba la Washington Redskins kabla ya mechi kuanza
Wakati wa mapumziko tukipata Ukoda moment na wadada washangiliaji wa Washington Redskins
Vibanda vya machopochopo vilivyozunguka uwanja
Tukipata Ukodak na Rachel shabiki wa Washington Redskins
Kwa picha zaidi bofya read more
1 comment:
kwa kweli bomba sana.zimetulia
Post a Comment