Mbunge
wa Iringa,mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo-
CHADEMA,jioni ya leo amehutubia umati mkubwa wa wakazi wa Iringa.Katika
hotuba yake, Msigwa amesema kuwa, hayati Daud Mwangosi ni shujaa ambae
atakumbukwa daima.
Tutawaleteeni habari zaidi.
No comments:
Post a Comment