ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 20, 2012

MWANAMKE AOLEWA NA BABA YAKE NA KUZAA WATOTO BILA KUJUA KUWA NI BABA YAKE


0
Valerie Spruill.


Taarifa ambayo imewashtua watu wengi inamuhusu mwanamama Valerie Spruill ambae ameishi na baba yake mzazi kama mke na mume kwa miaka 40 bila kugundua.

kwa mujibu wa Daily Post Nigeria, Spruill aligundua hii siri mwaka 2004 na amewavutia wengi kwa ujasiri wake wa kuiweka wazi kuhusu mumewe ambae kwa sasa ni marehemu.

Chanzo cha yeye kufahamu ni kutokana na kukusanya taarifa mbalimbali ambazo mwanzoni alianza kuzipata kama tetesi za umbea kutoka kwa watu mbalimbali.

Mpaka sasa mama huyu mwenye umri wa miaka 60 ana watoto watatu na wajukuu nane na alifahamu ukweli wa hii ishu kupitia kwa Uncle wake siku chache baada ya kifo cha mume wake.

Umeshawahi kusikia kisa cha aina hii? unemfahamu yeyote? mawazo yako ni yapi ili kuepuka vitu kama hivi?.

1 comment:

Anonymous said...


NDOA BILA DESTURI KUTOKUFUATA SHERIA ZA NDOA NA KUJUMUISHA KOO ZOTE HUSIKA ZA WANA NDOA NDO HAYA YATAKUPATA.KILA KITU LEO KIKO SHAGALA BAGLA, ZA BAGAA KING SO TUSISHANGAE HAYA NI YA KAWAIDA MUNGU ATUSAIDIYE JAMANI

MDAU MT.VERNON NY