Mshambuliaji wa mundu, Mfanyeje Ndalo akimiliki mpira mbele ya walinzi wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde.
Walinzi wa timu ya mtende Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde wakimzuia mshambuliaji wa Mundu, Mfanyeje Ndalo jana kwenye uwanja wa Amaan zanzibar. Mtende 2 Mundu 0
Mshambuliaji wa Mundu, Ibrahim Rajab (mbele) akipambana na Ali Salum wa Mtende, ligi kuu ya Grand malt ya zanzibar jana
Mtende ilipata ushindi wa mabao 2-0.
Picha na Martin Kabemba
1 comment:
Hivi kwanini wachezaji wetu wapofunga goli hawashangilii kwa staili ya kuteleza kwa magoti???
Post a Comment