Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrkia Mashariki(EAC) Dkt.Richard Sezibera wakati katibu huyo alipomtembela Rais na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)
No comments:
Post a Comment