ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 29, 2012

UCHANGIAJI WA WALEMAVU ZANZIBAR

 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba na maelezo kuhusu mfuko wa watu wenye ulemavu,katika hafla ya kuchangia mfuko huo iliofanyika Zanzibar Beach Ressort
 Baadhi ya wadau mbalimbali wakipunga mikono kama ishara ya kupiga makofi kuwapongeza Watu wenye Ulemavu katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
 -Kikundi cha Ngoma kutoka Chama cha Viziwi (CHAVIZA)wakitumbuiza katika kwea kucheza ngoma ya Chanzo katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
 Rais wa Zanzibar Dk,Ali Moha Shein (wakatikati) akipunga mkono kama ishara ya kupiga mako0fi kwa lugha ya Walemavu Viziwi katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
 Wanafunzi wenye ulemavu wa macho kutoka Skuli ya Msingi ya Kisiwandui na Sekondari ya Vikokotoni Awena Hassan kushoto na Jamila Borafya kulia wakisoma utenzi katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressor
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein w akatikati akiwa katika Picha ya pamoja na Wadau waliochangia kwa kiasi kikubwa mfuko wa watu wenye Ulemavu katika hafla iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
 Mchoraji Maarufu Mahmoud Hemed akiwa na Picha ya Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein aliyoichora na ambayo imeuzwa shiling 1,300,000 katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akimkabidhi Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad picha ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume iliochorwa kwa Mkono na ambayo imeuzwa shiling 1,200,000 katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipeana mikono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF Theopista Muheta aliempelekea Chek ya Shiling10,000,000.katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort

Rais wa Zanzibar Dk ali Mohd Shein akitoa hotuba katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort. 
 
PICHA NA SALMA SAID.

No comments: