ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 14, 2012

5th ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION, WASHINGTON, DC

Michele Tingling na Mumewe Rick Tingling ambao ni Wamarekani wakiongea machache ni kwanini walianziasha siku hii ya October 14 kumkumbuka na kumuenzi baba wa taifa Mwalimu Nyerere japo wao ni Wamarekani, wamesema sababu kubwa iliyowagusa ni kwamba Mwalimu Nyerere yeye alikua kiongozi mwuadilifu na aliyewapenda watu na kua na ndoto za kuiona Afrika inaungana na kua kitu kimoja, kutokana na uongozi bora, sisaa safi na kuona watu wote ni kitu kimoja na kumuona Mwalimu ni kama kiongozi wa Dunia ndio maana wametambua mchango wake mkubwa katika Dunia hii daima wataendelea kumenzi baba wa Taifa pamoja na kwamba mahudhurio bado hayarizishi na hawata kata tamaa kwa hilo watajitahidi kwa uwezo wao wote kuielemisha jamii hasa Watanzania waishio Marekani kuhudhuria kwa wingi.
Jessica Mushala aliyekua muongozaji wa siku hii maalumu ya kumkumbuka baba wa taifa.
Msanii Anna Mwalagho Mkenya anaeishi hapa DMV akiimba shairi la umoja ni nguvu maneno aliyopenda kuyatumia Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere
Video ya Anna Mwalagho na shairi lake la Umoja ni Nguvu
Mwiza Montali Mmalawi anaeishi hapa DMV akiongea machache na kunukuu maneno ya Mwalimu aliyowahi kuiambia World Bank
Wisson West akiongea machache kuhusu Mwalimu Nyerere na alikua akichombeza kiswahili kidogo japo yeye ni Mmarekani.
Anise Jenkins akiongea machache kuhusu mwalimu Nyerere japo hii ndio ilikua mara yake ya kwanza kuhudhuria siku hii.
Leo ni leo next generation wakiipamba siku hii kwa ngoma asili zilizokua kivutia kwa wengi.
Leo ni leo wakiendelea kulipamba jukwaa.
Kwa picha zaidi boya read more


2 comments:

Anonymous said...

Mushala's safi sana..

Unknown said...

Thank you new generation. Keep it up.