Asia Khamsin yupo tayari kwa Fashion Show hapa Dallas, TX Usiku wa leo katika East Africa Chamber of Commerce.
Asia Khamis akipata ukodak na Dr. Mary Nagu, Dr. Mary Nagu nae kaja kuhuzuria East Africa Chamber of Commerce
Dr. Mary Nagu akitabasamu baada ya kupenda kazi ya Asia, Dr. Alinunua Dress hii yenye rangi ya Chama inaweza kumfaa pale atakapo kuwa anawatembelea wapiga kula wake kule Anang'i,
Hapa Asia akipa ukodak na mama Kasora katika kati
Watu wakiangalia kazi ya Asia usiku huu atafanya Fashion Show kuonesha kazi yake kwa wana East Africa,
No comments:
Post a Comment