ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 10, 2012

FRANCIS MIYAYUSHO KUPAMBANA NA NASSIBu RAMADHANI DECEMBER 9, 2012


Bondia Francis Miyayusho kushoto akisaini mkataba wa kucheza na bondia Nasibu Ramadhani wa pili kulia wanaoshuhudia kulia ni wakili wa promota Nyasebwa Berious na Mohamed Bawazir 
Promota  wa mchezo wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwainua mikono juu bondia Francis Miyayusho kushoto na Nassibu Ramadhani wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya DECEMBER 9, 2012.


Mabondia Francis Miyayusho kushoto akitunishiana misuli na Nassibu Ramadhani wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika DECEMBER 9, 2012.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: