ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 14, 2012

IBRAHIMU CLASS APELEKA SHANGWE KAMBI YA ILALA BAADA YA KUMTWANGA JONAS SEGU

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Jonas Segu wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili siku ya kumbukumbu ya Baba wa taifa Class alishinda kwa point 
Refarii wa mpambano akimuinua mkono juu bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumtwanga Jonas Segu kwa point na kupeleka furaha ya ushindi katika Kambi ya Ilala anaefurahi kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila katikati akiwa katika picha ya pamoja  na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda kwa point bondia Jonas Segu

kwa picha zaidi bofya read more 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Jonas Segu waakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili siku ya kumbukumbu ya Baba wa tiafa Class alishinda kwa point
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' akimpereka ulingoni bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kwenda kupambana na bondia Jonas Segu wakati wa kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa Class alishinda kwa Point 

BONDIA THOMAS MASHALI AMTWANGA MEDY SEBYALA WA UGANDA KWA POINT

Mchezaji wa Mpira wa Timu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Juma Nyoso kulia wakiomba Duwa kwa ajili ya bondia Thomas Mashali katikati wa pili kulia ni msanii Maarufu wa bongo Fleva Joseph Haule Prof. J ambao walikwenda kumpa kampani bondia huyo na kufanikisha ushindi wake na kumuenzi muasisi wa taifa hili na baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere
bondia Thomas Mashali akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Tanzania pamoja na wa Afrika Mashariki na Kati
Rais wa TPBO Yasini Abdallah akisalimiana na Prof.J kwenye kona ya Mashali
Mchezaji wa Mpira wa Timu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Juma Nyoso kulia akiwa amebeba bendera ya Taifa wakati ukipigwa wimbo wa taifa kwa ajili ya bondia Thomas Mashali katikati wa pili kulia ni msanii Maarufu wa bongo Fleva Joseph Haule Prof. J ambao walikwenda kumpa kampani bondio huyo na kufanikisha ushindi wake na kumuenzi muasisi wa taifa hili Mwalimu Julius Nyerere
Baadhi ya Viongozi pamoja na mgeni rasmi wakisimama kwa ajili ya wimbo wa tafa kabla ya mpambano
BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa ajili ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mashali alishinda kwa Point 
Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa point

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela kushoto akionyesha ngumi huku akiwa na furaha baada ya bondia Thomas Mashali kuibuka na ubigwa kwa kumpiga bondia kutoka Uganda wakati wa maazimisho ya kumbukumbu ya baba wa taifa

Bondia Thomas Mashali akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa Afrika Mashaliki katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali 

Mbunge wa Kinondoni Iddy Azani akiwa katika picha na Bondia Thomas Mashali baada ya kuvishwa ubingwa wa Afrika Masharikipicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: