ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 10, 2012

Invite, Invitation, Einladung, invitación , Mwaliko



Wanaparokia ya Mt. Edward pamoja na   Paroko wao Pd. Evod Shao C.S.Sp.
 Tunaomba ushiriki nasi katika Adhimisho la Ekaristi Takatifu kuadhimisha sikukuu ya Parokia yetu

Jumapili  Oktoba, 14, 2012
Saa 4:00 Asubuhi

          St. Edward Roman  Catholic Church
901 Poplar Grove Street
Baltimore, Maryland 21216

Mwongoza Misa na Mhubiri ni
Mhasham Askofu Denis J. Madden  D.DV.G
 Vikari wa Neumann

Thamira ya siku: - “Safari yetu ya Imani  -
Tukiwa tumejawa na Upendo na Tumaini”

Karibuni kwa chakula katika ukumbi wa parokia mara baada ya Misa.

Jibu kwa simu  410-362-2000

Au Barua Pepe  shao1356@yahoo.com  
 Kabla ya au Oktoba 1, 2012

No comments: