ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 9, 2012

KUMBUKUMBU


Leo tarehe 10.10.2013 ni miaka 16 tangu ututoke mama yetu mpendwa. (Mwl. Nyalusi)

Tunakukumbuka na kukumiss mama yetu mpendwa.Ulikuwa mama mcheshi na mpenda sports. 

Sisi tulikupenda ila mola alikupenda zaidi.
Na tumkumbuke katika sala zetu. Roho yake ilale mahali peponi. 
Ameni

No comments: