ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 10, 2012

THE ONE CAMPAIGN AMBASSADOR PREZZO IN DC AND NEW YORK CITY

 One campaign ambassador Prezzo akitoa salute mbele ya kamera ya vijimambo hapa New York City, Prezzo ni mshindi wa pili wa big brother Africa na amepata nafasi ya kuwa Ambassador wa One Campaign Africa. Prezzo kama balozi wa One Campaign alipata nafasi ya kuhudhuuria concert ya Jay Z na alipata nafasi ya kuwa mmoja ya kati ya wale waliopata nafasi ya kukaa VIP Seats. Concert hiyo ilifanyika Barclays centre Oct 6 na baada ya concert Prezzo alipata nafasi ya kukutana na Jay Z na kuongea mawili matatu juu ya safari yake akiwa kama Ambasador wa One Camapaign. Na baada ya hapo alienda Washington, DC kukutana na team mzima ya One Campaign kwa siku 3 na kurudi NY kuanza safari ya kurudi Kenya Siku ya Jumapili Oct 14, 2012. Picha akiwa NYC baada ya  kukutana na NY Ebra mwakirishi wa Vijimambo NYC na kuongea nae kuhusu ujio wake Unyamwezini.. Prezzo au President kama anavyo jiita ameongozana na mke wake Goldie Halvey mwanadada wa kinigeria ambae walikutana ndani ya  mjengo wa BBA. Prezzo pia anae log ya Tshirt inayo julikana kama "SWAGGER FARMER"ukitaka kupata Tshirt hizo unaweza kuwasiliana na NY Ebra au Vijimambo team 347 475 4313.
ONE Swagger Farmer T-Shirt
 Hapa Prezzo au President akiwa na NY Ebra walivyo kutana New York City
 Ni ukudak moment na Ambassador wa One Campaign Prezzo au the president kama anavyo penda kujiita.
Pozi mbele ya ukodak wa vijimambo picha hizi akiwa sehemu aliyo fikia Midtown Manhattan, NY
Hii ndio Midtown Manhattan, New York

1 comment:

Anonymous said...

jina limenitoka ila nafikiri huyu ndio yule jamaa wa big broher aliyemwambia yule mwanamke olewa kabla muda haujaisha alinichekesha sana manake alikuwa anasema ukweli mwanamke uwe na wako hata mkiwa na tatizo mara nyingi unapewa heshima ukiwa na mwenzio achana na mashangunge hayana mpango shika kwako, TULIA