ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 2, 2012

ARUSHA NI JIJI RASMI

Jiwe la msingi liliwekwa na rais jakaya Kikwete kwa ajili ya mradi wa uboreshaji wa miundo mbinu kwenye miji mikakati Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shukrani toka kwa  Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lyimo baada ya kuzindua nembo ya jiji jipya la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo aliokabidhiwa na Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji

No comments: