Karibuni Watu Wote Katika Uzinduzi Wa Albam Ya Nyimbo Za Injili Ya Ndugu Yetu Mpendwa JOHNSON MZAVA
Uzinduzi Utafanyika Katika Ukumbi Wa University Of Maryland, November 3/12. Saa 4PM Mpaka 7PM.
Address Ni 3621 Campus Dr College Park MD 20740. Unapoona Tangazo hili Mtaalifu Na Mwenzio,
MUNGU Awabariki Kwa Ushilikiano Wenu Mwema.
No comments:
Post a Comment