Bondia Ibrahimu Class 'King Clas Mawe' (KUSHOTO) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kocha wa timu ya taifa ya ngumi Mzonge Hassani wakati wa mazoezi ya King Class Mawe ya kujiandaa na mpambano wake na Said Mundi wa Tanga Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba.Picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment