Katibu Mkuu kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr.Abdullhamid Yahya Mzee akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Ripoti ya kamati ya uchunguzi ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit 18/07/2012 huko ukumbi wa idara ya habari maelezo kikwajuni mjini Zanzibar .
Wandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari hapa nchini wakipokea maelezo ya Ripoti yakamati ya uchunguzi ya kuzama kwa meli ya M.VSkagit iliotokea tarehe 18/07/2012 mwakahuu .
Mwandishi wa Habari wa channal ten Munir Zakaria akiuliza suali kwa katibu Mkuu kiongozi Dr.Abullhamid Yahya Mzee juu ya Ripoti ya kamati ya uchunguzi ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda .
Katibu Mkuu kiongozi Dr. Abdullhamid Yahaya Mzee akionesha Ripoti kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani juu ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit iliotokea tarehe 18/07/2012 mwakahuu.
No comments:
Post a Comment