ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 2, 2012

KUTOKA KWENYE WEBSITE YA DIAMOND KUHUSU SHOW ALIYOFANYA ARUSHA


Diamond akiwa jukwani show hii iligomewa na wanamuziki wa Arusha walisema kwanini Diamond kuja hapa na kuperform kisha kulipwa mapesa wakati wao wapo lkn katika vuta nikuvute Diamond na kundi lake wali perform na pia wanamuziki wa Arusha walipewa nafasi ya kuperform pia. Chini ya ulinzi mkali kwani walitishia amani kama nawao wasinge pewa nafasi.
Usafiri aliokuwa anatumia Diamond baada ya kuingia katika jiji la A city Arusha kwa ajili ya show hiyo
Usalama wa kutosha….
Moja ya wasanii wa Hip Hop kutoka A-town wakifanya yao….

Jcb & Nakaaya walifanya show ya pamoja na ilikuwa kali sanaaaa….
Asili uwa haipotei wala kusahaulika….

Wasafi…
Police wenye mbwa walitanda kila kona kuakikisha amani inakuwepo ( kwapicha zaidi  bjuu ya show hiyo ya Diamond bofya read more 
Mpango mzima ulianzia hapa…..
Burudani haina mipaka… ikikolea mpaka kwa mshabiki huwa najitahidi nifike………

Hatuishii juu ya stage…… popote kwetu ni burudani….

No comments: