ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 2, 2012

Karibuni Watu Wote Katika Uzinduzi Wa Albam Ya Nyimbo Za Injili Ya Ndugu Yetu Mpendwa JOHNSON MZAVA Uzinduzi Utafanyika Katika Ukumbi Wa University Of Maryland, November 3/12. Saa 4PM Mpaka 7PM. Address Ni 3621 Campus Dr College Park MD 20740. Unapoona Tangazo hili Mtaalifu Na Mwenzio, MUNGU Awabariki Kwa Ushilikiano Wenu Mwema.



Misa Takatifu Itafanyika Novemba 4, 2012
Nia ni kuwakumbuka Marehemu wetu.
Saa 8:00 Mchana. Liwe liwalo tujitahidi kuhushiriki.
Nitaomba Yeyote anayetaka Marehemu wake au wa Familia yake au Ni rafiki yake etc. akumbukwe kwenye Misa hiyo anitumie jina, Umri na Jinsia. Hii itanisaidia kuwapangilia na kuweza kusoma majina yao kwa utaratibu ninaoupanga.
Mahali:- St. Edward R.C. Ch

urch,
901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Baada ya Misa tutakuwa na viburudisho katika Ukumbi wa Parokia 2848 W. Lafayette Avenue, Baltimore, MD 21216.

Kuegesha Magari itakuwa: Parking ya Shule ya Alexander Hamilton, Mbele ya Kanisa, Parking yetu ndogo on Prospect Street na maeneo kuzunguka kanisa.
Karibuni wote. Tafadhali Mjulishe yeyote unayejua anapenda kujiunga nasi.
Weka Alama kwenye Kalenda yako. Misa Ya kufunga mwaka huu itakuwa Decemba 9 Kuadhimisha Uhuru wa Taifa letu. Huenda wenzetu Kenya wakajiunga nasi kwani Uhuru wa Nchi yao ni Decemba 12, 2012.

KARIBU - KARIBUNI SANA.

Pd. Shao

No comments: