ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 24, 2012

MWILI WA MAREHEM JESCA WAAGWA TAYARI KWA SAFARI YA TANZANIA

Mh. Naibu bolozi Mwinyi akiwa Bergen Funeral Service Inc, alijumuika na watanzania na maofsa wa Tanzania Mission New York kuuaga mwili wa marehemu Jesca Emamnuel Swere aliyefariki jumapili tarehe 18/11/2012 katika Hospitali Mt. Sinai, Queens, NY. Mwili wa marehemu utasindikizwa na wazazi wake usiku wa jumamosi kwenda Bumbombi-Shirati, Musoma Tanzania.

No comments: