CEO wa (T.E.S) Temba Engineering Services akipata maelezo kutoka kwa Prof William W. Hare Associate Dean for Programs, College of Agriculture, Urban Sustainability and Environmental service (CAUSES). Kabla ya mkutano wa makubaliano ya kuanza kwa project ya kufunga machine za Air handling system,-Smoke generator, Air pollution system, and Microprocessor. Kazi ya machine hizo ni kukausha nyama, kuku, samaki, matunda na vegetables. T.E.S itafanya kazi hiyo na World Bank ndiyo watakaodhaamini kazi hiyo yote kwa ajili ya University of the District of Columbia, na machine hizo zitatumika kwa kufundishia wanafunzi chuoni hapo na watakaopewa kipaumbele ni wanafunzi wanaotoka bara la Africa hili wapate ujuzi, na ujuzi huo ukatumike Africa kwa faida ya mwaafrica mwenyewe. Na baada ya kukamilika machine hizo zitawekwa nembo ya bendera ya Tanzania kama alama ya company ya T.E.S iliyo chini ya Mtanzania.
Hapa ni C.E.O wa T.E.S Temba, Mr Yao, Ny Ebra na Prof William wakipata ukodak kabla ya mkutano hapa ni nje katika eneo la Chuo. Kwa picha zaidi bofya read more
Prof wa chuo akitoa maelezo ya hapa na pale
Picha ya pamoja baada ya mkutano kuisha, kulikuwa na mwakilishi wa World Bank, na Balozi wa nchi za kiafrica katika mpango huo kilimo unaosimamiwa na world Bank. Mkutano huo ulifanyika University of the District of Columbia.
Mr Yao akitoa maelezo katika yard ya chuo itakayo tumika kufungwa machine hizo na kati ya mboga zitakazo tumika kaushwa na machine hizo baada ya kukamilika.
Ny Ebra na Mr Yao wakipata ukodak katika yard hiyo ya chuo
Ny Ebra baada ya shughuli za siku mzima DC alipitia kwa mama yake kwenda kumsalimia. |
No comments:
Post a Comment