Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makweta Bunju.
Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Waziri William Lukuvi akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maomboleza alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Mke wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment