ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 24, 2012

SEMINA YA MWAKASEGE IKIENDELEA GREENBELT, MARYLAND

Mwalimu Mwakasege akiendelea na mafundisho kwenye hotel ya Hilton iliyopo Greenbelt, Maryland ambapo leo ni kutwa nzima pia Vijimambo inawaletea Live mambo yanavyoendelea kwenye Semina hii.
Kwaya ya Swahili Revival Praise team- Bethel Church ikitumbuiza kwa nyimbo za injil kwenye semina ya mwalimu Mwakasege inayoendelea Greenbelt, Maryland.
Juu na chini ni watu mbalimbali waliofika kusikiliza mafundisho ya Mwalimu Mwakasege Vijimambo itaendelea kurusha Live sasa hivi tupo mapumziko na hakuna kiingilio kwenye semina hii ni Bureee wote mnakaribishwa.
Aunty Wahida na Ulla katika picha ya pamoja.
Watu mbalimbali kutoka kila kona ya Amerika wakipata picha ya pamoja wakati wa mapumziko kwenye semina ya Mwakasege.
Swahili Revival Praise team- Bethel Church katika picha ya pamoja
Kiongozi wa Mana Ministries Jackson Mollel (kushoto) akiongea na mmoja ya kiongozi wa dini aliyefika kwenye semina ya mwalimu Mwakasege
Watu wakiwa mapumziko kwa kulainisha koo, chakula na maongezi ya hapa na pale.
 kwa picha zaidi bofya read more

No comments: