KIPINDI KIPYA CHA AFYA CHECK NDANI YA CLOUDS TV : AFYA YA UZAZI (REPRODUCTIVE HEALTH) ( Season 01 Episode 01 )
Afyacheck ni kipindi kipya cha tv ambacho kinakupa fursa ya kujua afya yako. pia utapata nafasi ya kuuliza maswali yakusu afya. na utajibiwa.kipindi hiki kitakua kinaruka kupitia Clouds tv. Hii link niya kipindi cha kwanza cha afyacheck inazungumziwa swala zima la afya ya uzazi tazama uone mtoto anavyo patikana kila hatua inaonekana mpaka mbegu zinavyo ungana.
No comments:
Post a Comment