Advertisements

Tuesday, January 22, 2013

BAADA YA SINTAH KUMCHANA RAYUU KUWA YY NI KUNGURU ASIYEFUGIKA.......RAYUU NAE AJIBU MASHAMBULIZI KWA MATUSI MAZITO!

Rayuu

Ugomvi kati ya wasanii wa kibongo maarufu kama sintah na Rayuu umechukua sura mpya baada ya wasanii hao kuanza kuumbuana kwa maneno machafu.....

Kisa kilianza mwaka jana baada ya Rayuu kusambaza picha zake za nusu utupu, hali iliyomkera sintah na kuamua kumponda.......

Rayuu hakuishia hapo, mwaka huu kakianika tena kiuno chake huku nguo zake za ndani zikiwa njenje.....Sintah alifunguka tena na kumuita "KUNGURU ASIYEFUGIKA"....

Baada ya Rayuu kuitwa "kunguru", yeye amemuita mwenzie "Gubegube lililoshindikana tz"......

Haya ndo mabishano yao

No comments: