ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 17, 2013

BURUDANI YA KUKATA NA SHOKA..JUMAMOSI HII NA JUMAPILI...OBAMA INAUGURATION "WA AFRICA WOTE AS ONE FOR OBAMA


JUMAMOSI JIRUSHE NA MATAIFA YOTE YA AFRICA KATIKA CLUB MPYA KABISA YA NECTAR,MA DJ KIBAO KUTOKA AFRICA..BURUDANI KUFA MTU !!!!!!!!!!!!!!!


 JUMAPILI  BAADA YA KUMUAGA BALOZI NI AFTER PARTY FOR OBAMA JICHANGANYE NA MATAIFA MENGINE PALE LOUNGE YA KISASA KULIKO ZOTE DMV "PASHION LOUNGE " ILIYOKO WHEATON !

2 comments:

Anonymous said...

Mnasherehekea kwa Rais wa Marekani kuapishwa? Hivi Enyi wagaratia ni nani aliyewaloga? Amemaliza miaka 4 ya kwanza, hata kutembelea nchi ya baba yake hakwenda na katika kipindi chake cha pili hana mpango wa kwenda, leo hii mnasherehekea kuapishwa kwake. Ni wendawazimu tu ndio wanaoweza kufanya hivyo, mbona hata umaskini wa waafrika na bara zima unaongezeka? Acheni wamarekani washangilie maana wao ndio waliozaa na kulea. Nyie weusi mlizaa tu na kutelekeza...
Joshua,
Brussels

Anonymous said...

He didn't visit the country because of the father who abandon him. Why should he. Being a sperm donor doesn't make you a father. where was his father when his mother was struggling. Let him be