ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 7, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO NDANI JIJI YA ARUSHA NA NISHER ENTERTAINMENT

Nisher ni kijana mdogo na mwenye talent anapenda music na music unampenda kwaiyo anakipaji katika music na anakitumia kipajichake kwa kujishughurisha na music. Nisher kafungua studio ya kurecordia music wa aina mbalimbali na pia utengeneza video. Studio yake hina vifaa bora kabisa kama unavyo hona katika picha. Ujuzi wa kufanya kazi studio Nisher alisomea katika chuo kimoja kilichopo Minnesotta U.S.A
Hii ni Nembo ya jina la Studio ya Nisher katika jiji la Arusha, Tanzania Nisher licha ya kufanya kazi zake studio pia ana kipawa cha kuandika music na kuimba.
Hapa Nisher akiwa na baba yake, Baba yake ni mchungaji na licha ya kuwa mchungaji yupo sambamba na mtoto wake kwa kumpa support  na ushauri juu ya kipaji chake cha music.
Hii ni moja ya Gari anayotembelea akiwa katika michakato ya kawaida mjini Arusha baada ya kazi za Studio
Hapa Nisher akiwa tayari kuelekea kanisani 
Nisher katikati akiwa na John Makini wehusi baada ya kuwa tengenezea video yao inayo julikana kwa jina la Sijutii. 

No comments: