Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma wakati akiwa na msafara wa viongozi wenzake wakielekea mkoani Kigoma leo kwa ajili kuhudhuria sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa CCM. Picha na Bashir Nkoromo
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
Baadhi ya Wana CCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma, leo.
1 comment:
Afadhali na vigogo nao waonje joto ya jiwe ya treni za walala hoi, vyoo vibovu, harufu mbaya kwenye mabehewa, kelele kibao, halafu muda wa kusafi nafikiri ni siku mbili mpaka kigoma. wakifika hoi si wamezoea ndege.
Post a Comment