ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 7, 2013

LOKASSA YA MBONGO ALONGA NA VIJIMAMBO

Hii ni sehemu ya kwanza ya Gwiji la ukung'utaji wa kitaa la kati kutoka DRC, Lokassa ya Mbongo Jina alilopewa naTabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, Lokassa alonga na Vijimambo aelezea safari yake ndefu ya muziki yenye mabomde na milima inayosisimua, inayofundisha na usione mtu anakula raha, hujui mateso gani aliyopitia mpaka utakapo pata bahati akuhadithie. Shukurani kwa Felix Muzungu mtafsili wetu wa kifaransa kwa kiingereza. MSKILIZE

No comments: