Uongozi wa wa Jumuiya ya watanzania DMV unapenda kuwashukuru wanakamati na wanajumuiya kwa ushirikiano wenu wa hali na mali kwenye shughuli nzima ya kumuaga balozi wetu. Uongozi umefurahishwa kwa ushirikiano wenu katika kufanikisha shughuli yetu. Tunawatakia heri na Baraka.
Uongozi,
Jumuiya Ya Watanzania DMV
www.watanzaniadmv.org

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake