ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 22, 2013

Rose Mwalulili atakuwa na Misa ya Shukurani Jumapili 3/24/2013


Ibaada ya Shukurani
Tunapenda kuwaarifu kuwa mpendwa dada yetuRose Mwalulili, atakuwa na misa ya shukurani kufuatia msiba wa mpendwa dada yake. 
Misa itafanyika siku ya Jumapili 03/24/2013 saa saba mchana.
Katika Kanisa la Injili kwa Njia ya Msalaba
3621 Campus Drive
College Park, MD.
Wote mnakaribishwa!

No comments: