Kutoka kushoto Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. A. Mgimwa, Mkurugenzi Mkuu wa Africa Group (IMF) Bw. Momodou Bamba Saho pamoja na Naibu Katibu Mkuu Dr. S. Likwelile wakifurahia jambo baada ya kikao cha kujadili masuala ya hali ya uchumi wa Tanzania pamoja na gesi.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. A. Mgimwa akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Africa Group (IMF) Bw. Momodou Bamba Saho mara baada ya kumaliza majadiliano.
Ujumbe kutoka Tanzania katika kikao cha pamoja na Mwakilishi Mkazi wa World Bank Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier katika majadiliano kabla ya kukutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bw…..
Kutoka kushoto ni Mshauri wa Mkurugenzi wa Afica Group One Bw. Wilson Toninga Banda, Mkurugenzi Mkuu wa Africa Group One Bw. Denny H. Kalyalya pamoja na Mkurugenzi Mwandamizi wa Africa Group One Bw. Peter Larose wakiwa katika majadiliano na ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt A. Mgimwa.
No comments:
Post a Comment