ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 18, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA BONGO USO KWA USO NA MDAU HUYU WA DIASPORA

Katika pita pita ya vijimambo bongo ilikutana na bwana H.S. Jongo katika maeneo ya Kijitonyama bwana Jongo ni mdau wa Diaspora na hapa akiwa katika office yake inayo julikana kwa jina la Magati General Supplies. Office hii ina husika na Pharmancy, Medical Equipment.
Hapa bwana Jongo akipata ukodak Ny Ebra, Ebra alitembelea hapo Ofisini kwa bwana Jongo hili kupata huduma ya dawa za kujikinga na Malaria.

No comments: