Rais Kikwete akutana na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte
Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi yake na kufanya naye mazungumzo jana Jijini The Hague.Rais Kikwete alikuwa katika ziara rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi kwa mwaliko wa Waziri mkuu wa Nchi hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi jana.Kulia nia Waziri Mkuu wa Uholanzi Mh.Mark Rutte(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment