Sherehe ya Kipaimara ya Alex (kulia) na Benja iliyofanyika Jumamosi April 13, 2013 Silver Spiring, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Dr, Mkama na Mkewe ambao ni wazazi wa Alex na Benja wakiongea machache kuwashukuru wote waliofika kwenye sherehe ya watoto wao ya kusherehekea kupata kipaimara chao iliyofanyika Jumamosi April 13, 2013, Silver Spring.
Alex na Benja wakikata keki.
Alex akimlisha mama yake aliyemsimamia Kipaimara, Mrs Wambura,
Benja akilisha keki Baba yake aliyemsimamia kipaimara Mr. Wambura.
Juu na chini ni Baba na mama wambura wakiwalisha wakiwalisha keki watoto wao waliowasimamia kipaimara.
Brigedia Jenerali Mganga na mkewe akiongea mawili matatu kabla ya kuwapa zawadi Alex na Benja.
Juu na chini Mrs Love Maganga akiwapa zawadi Alex na Benja.
Kaimu Balozi, Mhe. Lily Munanka akibadilishana mawili matatu na Mr.Maro ambaye ni muhasibu wa TCRA, Dar Es salaam, Tanzania.
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment