Wakazi wa eneo la sahare lililopo kata ya Mzingani jijini Tanga wamefunga barabara kuu ya Karume kwa muda wa saa sita wakidai Makalavati kufuatia mafuriko yaliyoingia katika makazi yao na kuzingira zaidi ya nyumba mia moja hadi askari wa kikosi cha kutuliza ghasia waliokuwa na silaha wakiongozwa na kamanda wa polisi mkoani Tanga walipokwenda kuwasihi kuifungua .
No comments:
Post a Comment