Watu watatu wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti maeneo ya mpaka wa Tanzania na Burundi wilaya ya Ngara mkoani Kagera ambapo gari la abiria mali ya kampuni ya Atracom ya nchini Burundi limewagonga Watanzania wawili waliokuwa wamebebana katika pikipiki na gari la kampuni ya Magula hapa nchini limeanguka kwenye korongo baada ya kufeli breki na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 11 kujeruhiwa vibaya eneo la kojifa mjini Ngara
.
No comments:
Post a Comment