Tuesday, May 21, 2013

BAADA YA MAPENZI KUAMISHIA KWA PREZZO, DIVA AANZA KUMCHOKONOA ZITTO KABWE.

Baada ya kutangaza kumpiga chini Mh.Zitto Kabwe, Loveness Diva ameamua kumchokonoa tena kwa kumkejeli kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais.....
Huu ni ujumbe wake aliouweka instagram: 
".Ivi kwa akili yako unadhani unastahili kweli kuwa Rais mteule wa taifa hili....??


"Usiponijibu nikaridhika, basi ntakuchukulia kama mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."

2 comments:

  1. jamanii huyu nae ni sukari ya totosiii mjini,lol...mpaka wasaniii tenaa,mbona huyo zito mwenyewe hana mvutoo?au anahonga sanaa?mh..mm yangu macho...

    ReplyDelete
  2. Diva control uoself lady..utaumia vibaya. Dont let people get to uo attention..bvoz rveryone is excited for uo dpwnfall...ticktock tym tells...

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake