Wanamuziki wa kizazi kipya ambao wamejikuta kwa pamoja wakiyaaga maisha ya ubachela na kuingia katika ulimwengu mpya wa maisha ya ndoa, hapa ni Noorah pamoja na H-Baba.
Noorah amefunga ndoa weekend hii huko mkoani Shinyanga na H-Baba amefunga ndoa weekend hii pia ikiwa ni hapa jijini Dar Es Salaam …. H-Baba amefunga ndoa na msichana anaejulikana kamaFlora Mvungi ambae ni msanii wa filamu Tanzania… yaani BONGO MOVIES
1 comment:
hongereni sana wana ndoa lakin kitu kimoja cha msingi mheshimiyaneni na mstahamiliyaneni ndoa si mchezo na pia kama ni waislamu basi katika kwenda kumuona bibi harusi unatakiwa uwe peke yako mume kama kweli wewe ni muislamu na unafuata dini yako na suna za mtume,tusisahau jamani sunna za mtume wetu alikuwa akinywishwa maziwa peke yake na mkewe mtarajiwa na si mijanadume mingine imesimama inakodoa macho shetani mbaya hao hao kuna siku watakuja kuchukua mkeo shetani mbaya funga ndoa ya kiislamu kwa dini na imani ya kiislamu
ushauri wa bure hongereni sana inshallah kila la kheri na mimi niombeni ningiye kwenye ndoa amin
Post a Comment