ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 4, 2013

Balozi wa China akabidhi uwanja wa taifa kwa serikali

Balozi wa China nchini Tanzania Lu Yong ring leo amekabidhi uwanja mpya wa taifa kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya kukamilika awamu ya kwanza ya ujenzi wa uwanja huo.

No comments: