SEMINA YA WANAWAKE - COLUMBUS, OHIO JULAI 5 - 7
Ibada ya Kiswahili Columbus - Columbus, Ohio ikishirikiana na ACT's wanawakaribisha wanawake wote kwenye Semina itakayoanza Ijumaa 7/5 hadi Jumapili 7/7 katika ukumbi wa Kanisa la Gethsemane.
Ijumma 6:00pm - 9:00pm | Jumamosi 9:00 am - 4:00pm | Jumapili 12:00 Mchana
Watakaongoza Semina ni:
Mchg. Catherine Abihudi kutoka MO,
Mchg. Emmie Gertrude Ntwina kutoka TX,
Mchg. Mary Mwang'ombola kutoka Tanzania,
Mtumishi Dorothy Shallua kutoka NC.
Kutakuwa na waimbaji Upendo Kilahiro kutoka Tanzania, Pr. Printze Ngosso , Fay Destiny wa Ohio, Mercia V. Kyulule wa CA, na wengine.
Semina hii ni kwa ajili ya akina Mama na Wasichana wote.
Anwani ni 35 E. Stanton Avenue, Columbus, OH 43214.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:
Jacky 614-218-2023 begin_of_the_skype_highlighting
Hono 614-209-5861 begin_of_the_skype_highlighting
Wanawake wote mnakaribishwa
Ubarikiwe hadi ushangae!!
No comments:
Post a Comment