ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 4, 2013

THIS WEEK KILIMANJARO FOOD SPECIAL WASHINGTON DMV

WAKATI COUNTY WAKIWA BADO WAMETUFUNGIA KUTOKANA NA UCHUNGUZI WAO WA ILE SHOOTING ILIYOTOKEA NJE YA PARKING YA PASSION LOUNGE,KILIMANJARO FOOD INAENDELEA NA SHUGULI ZAKE ZA DELIVERIES NA CATERING KAMA KAWAIDA.

THIS WEEK CHEF SHABANI'S SPECIAL
WE DELIVER TO YOUR DOOR FOR YOUR FAMILY OR EMPLOYEES 
CALL-301-661-6207

FRIED TILAPIA  FILET WITH  PLANTAINS OR CHAPATI
MBUZI KAANGA /GOAT SAUTEE WITH CHAPATI OR PLANTAINS
EVERY MEAL COMES WITH SPINACH & KACHUMBARI

FOR YOUR LARGE EVENT WE PROVIDE PROFESSIONAL WAITERS,PROFESSIONAL BARTENDERS AND PROFESSIONAL STATE CERTIFIED CHEF WITH THE ABILITY TO PREPARE  SPECIAL TAILORED MENU TO SUITS YOUR EVENT AT A VERY AFFORDABLE PRICE.WE ARE INSURED,BONDED, LICENSED.

3 comments:

Anonymous said...

Are there pick up options? nafikiri ingekuwepo ungepata watu wanaopendelea zaidi kupick.

Anonymous said...

acha huongo wewe,si useme ukweli tu kuwa mmeshindwa kulipa rent pale!!! kama mmefungiwa kwa sababu ya shooting kama unavyo sema,mbona kuna kibao cha ku rent pale? na kama shootinng ilitokea kwenye parkin lot kwa nini nyie mfungiwe na jirani zenu wasifungiwe?!!! kwa sababu hile parking sio yenu ni ya count!!!hivyo haihusiana vyovyotete na nyinyi,husiwafanye watu wapumbavu!! wewe sema ukweli na sio kuwadanganya watu...

yoo said...

SAWA BASI TUMESHINDWA KULIPA RENT FURAHI WEWE....
ULITAKA TUENDELEE KULIPA RENT WAKATI LIQUOR LICENCE IMEKUWA REVOKED TUNA LISENCE YA FOOD ONLY NDO MAANA TUNAENDELEA NA CATERING. AU HUJUI KUWA BIASHARA NI LICENCE?PIA ULITAKA WATU WENGINE PIA WAFUNGIWE WAKATI UGOMVI UMETOKEA NDANI YA CLUB UKAHAMIA NJE ALAFU USIKU WAKATI HIZO SEHEMU ZINGINE ZIMEFUNGWA?...KAMA WEWE NIMJUAJI SANA BASI UNGEJUA PIA KUWA DATA ZOTE ZA YALIYOTOKEA ZIKO ONLINE NENDA KAANGALIE SITE YA COUNTY DEPARTMENT OF LIQUOR CONTROL.....WATANZANIA BANA TUNAFURAHI SANA TUKIONA MTU KAANGUKA EHH ..INAONEKANA WEWE ULIKUWA UNAOMBEA SANA NISHINDWE RENT WEWE..DUH VERY SAD !!!