ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 6, 2013

WANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA MTONI HUKO MBEYA

Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa.
Fimbo hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani Mbeya.
Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko na mgambo.

1 comment:

Anonymous said...

Hawa mgambo wanafuata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania au tamko la waziri mkuu?