Dada Maggie (kulia) akiwa na Mama Muta
Watanzania Houston na marafikizao wakijumuika pamoja na Matgareth kwenye Baby Shower yake iliyofanyika Houston, Texas siku ya Jumamosi Aug 31, 2013
|
Cassius (Kati) katika picha ya pamoja na Pia (kushoto) akiwa na baba mwenye nyumba wake siku ya Jumamosi Aug 31, 2013 kwenye Baby shower ya Margareth iliyofanyika Houston, Texas.
Wanafamilia katika picha ya pamoja
Dj Kaycee kwa picha zaidi bofya soma zaidi |
Shillah Lyi |
Maggie & Myles
No comments:
Post a Comment