ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 25, 2013

KASI MPYA HALI MPYA NGUVU MPYA NA PIA MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU YAKE MWENYE

Msukuma Mkokoteni akiwa hoi wakati akijitahidi kuongeza nguvu ili kuhakikisha mzigo huu wa mikungu ya ndizi unafika mahala husika akiwa na dereva wake mbele ambaye haonekani kutokana na mzigo huo kuwa mkubwa kupita uwezo wa mkokoteni huo, kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto katika Barabara ya Singida mjini Dodoma jana.

No comments: