ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 2, 2013

KIDUM APAGAWISHA DMV JUMAPILI YA LABOR DAY RIO CLUB


Dj Dyme akifanya vitu vyake kwenye show ya Kidum msani wa kizazi kipya mburundi anayefanyakazi zake za usanii nchini Kenya. Kidum alifanya show yake kwa mara ya kwanza katika ardhi ya DMV kwenye kiota kilichopo Laurel, Maryland kiitwacho Rio.

Msanii wa kizazi kipya Kidum akilitawala jukwaa alipofanya onesho la kufa mtu Rio Club iliyopo Laurel, Maryland Jumapili Sep 1, 2013 na kuhudhuriwa na umati wa mashabiki wake kutoka Afrika ya Mashariki wanaoishi hapa nchini Marekani.


Mashabiki wakifuatilia show ya Kidum alipofanya onesho lake Jumapili Sept 1, 2013 Rio Club iliyopo Laurel, Maryland nakuhudhuriwa na mashabiki lukuki huku wakinadada wakiwa wengi

Kidumu akiendeleza makamuzi yake kwenye jukwaa.
Mashabiki wakipagawa na nyimbo za Kidum.
Juu na chini ni mashabiki wakifuatilia show ya Kidum.
Kidum akiimba huku mashabiki nao wakiitikia baadhi ya nyimbo zake.
Kidum akiimba wimbo wa mulika mwizi
Kidumu akiimba na shabiki wake aliyependa jukwaani kumsaidia kuimba wimbo aliyeimba na Lady Jaydee uitwao nitafanya
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: