Advertisements

Saturday, September 14, 2013

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAMA CHRISTABELLA KAISI DMV

Mama Mwombela akimpa pole Tumaini huku Dr. Seche akiangalia kwenye misa ya kumbukumbu ya mpendwa mama yake aliyefariki  Aug 1, 2013 Tanzania. Misa ilifanyikia Laurel, Maryland Jumamosi Sept 14, 2013.
Mchungaji Nkone kutoka Columbus, Ohio akiongoza misa ya mama Christabella Kaisi iliyofanyika Jumamosi Sept 14, 2013, Laurel, Maryland.
Dr. Seche akiongea machache jinsi alivyomfahamu marehemu na marehemu alishawahi kuwa mwalimu wake..
Tumaini akiwa na familia yake.
Familia ya Nkone katika picha ya pamoja kushoto ni mwimbaji wa nyimbo za injili toka Tanzania Upendo Nkone.
Kutoka kushot ni mchungaji John Mbatta, mchungaji Nicku Kyangu Mordi na mama Mwombela.
Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika kwenye misa ya kumbukumbu ya mama yake Tumaini wakifuatilia misa.
Ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Kaisi wakiwa kwenye misa ya kumbukumbu ya mama yake Tumaini aliyefariki Aug 1, 2013 Tanzania.
Juu na chini ndugu, jamaa na marafiki wakifuatilia misa.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.




No comments: