Kila jumapili katika Swahili Radio Mary Mgawe anakuletea kipindi maalum cha Gospel, akizungumzia muziki wa injili pamoja na mada mbalimbali zihusuzo injili.
Jumapili hii Septemba 01,2013. Mary Mgawe alikuwa naye Bony Mwaitege. Kama ulipitwa sikiliza kwa kubofya hapa chini.
Usikose kusikiliza Swahili Radio Online Kipidi cha Injili na Mary Mgawe kila Jumapili Saa moja asubuhi Marekani-Mashariki, Tanzania itakuwa Saa nane mchana. Baada ya hapo miziki mchanganyiko ya Injili na kipindi kinarudiwa tena.
LINK
No comments:
Post a Comment